Kiwanja kinauzwa Goba Maghorofani, Dar Es Salaam sqm 1200

Ukubwa
1200 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kama unatafuta kiwanja karibu na lami, mtaa mzuri, kiwe kinafikika vizuri basi hapa patakufaa sana..
Ni 📍 Dar es salaam. GOBA MAGHOROFANI. Jirani na lami
Ukubwa wa kiwanja SQM 1200
BEI: TZS 150 Million (Maongezi yapo)
Full Documents: HATI ✅️
Tupigie: 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















