Kiwanja kinauzwa Goba Simba Oil, Dar Es Salaam sqm 2089

Ukubwa
2089 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Huduma na Sifa
Maelezo
✍Millions 430 maongezi yapo
✍Location Goba simba oil mta wa lalata
✍Ukubwa wa plots Square meters 2089
✍Eneo zuri sana limepimwa na lina Hati miliki ya wizara ya ardhi
✍Plots ya uwekezaji ipo ndani ya fence
✍Umbali kutoka lami meters 500
✍Namuitaji kibopa mmoja amalize hapa
✍Service charge 50,000/=
✍CALL NO 0687800334 / 0714765041
✍Dalali J Fani plots & Apartments 🙏















