Kiwanja kinauzwa Kibamba Gogoni, Dar Es Salaam sqm 1300

Ukubwa
1300 SQM
Barabara ya Karibu
500m
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA GOGONI
Umbali mita 500 kutoka lami
Ukubwa sqm 1300
Bei Mil. 50
Huduma zote zipo hapa
Nikiwanja cha kukiwahi kabisa hakina pachupachu kimenyooka saaaana
Site visit 25,000/=
0711258592















