Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kijichi Ushuani, Dar Es Salaam sqm 1135
Ukubwa
1135 SQM
Barabara ya Karibu
200m
Huduma na Sifa
Maelezo
🏡 VIWANJA VINAUZWA – KIJICHI USHUANI
Unatafuta eneo bora la kujenga nyumba ya kifahari au kufanya uwekezaji? Hii ni fursa yako!
📍 Mahali: Kigamboni – Kijichi Ushuani
Viwanja vinavyopatikana:
👉🏻 SQM 1,135 — TZS Milioni 100
👉🏻 SQM 1,135 — TZS Milioni 100
✅ Unaweza kununua kiwanja kimoja au kuunganisha viwanja vyote viwili kwa mradi mkubwa zaidi.
✅ Kila kiwanja kina Hati ya Wizara.
✅ Meta 200 tu kutoka barabara ya lami.
✅ Kilomita 12 kutoka Kivukoni Ferry.
✅ Kilomita 11 kutoka Daraja la Nyerere.
✨ Vinanafaa kwa:
* Makazi ya kifahari
* Ujenzi wa apartment
* Miradi ya biashara
* Uwekezaji wenye thamani inayoongezeka kila siku
📞0769554221
📍Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio















