Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mbuyuni, Dar Es Salaam sqm 950

Kinyerezi, Dar Es Salaam
10 hours ago
Sh. 195,000,000
Maelezo
Kiwanja kizuri sana NDANI YA FENSI kinauzwa Milioni 195 Maongozi yapo
*LOCATION:π KINYEREZI MBUYUNI* Dar es salaam Tanzania
Ukubwa wa kiwanja: Sqmt 950
Matumizi: Makazi/Apartment/ Nk.
Document: Hati miliki kutoka wizara ya ardhi
βMaji safi dawasco umeme vyote vipo Ndani ya kiwanja
βUmbali mita 100 tu kutoka Bara bara ya lami
NIPIGIE CM 0744112394















