Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kisiwani, Dar Es Salaam sqm 276

video thumbnail
Sh. 135,000,000

Ukubwa

276 SQM

Barabara ya Karibu

150m

Huduma na Sifa

Maelezo

šŸ”„ CORNER PLOT YA UWEKEZAJI – KIGAMBONI KISIWANI šŸ”„ O719969102

šŸ“ Location: Kisiwani – kati ya Mkolea na Kisiwani, Kigamboni
šŸ“ Ukubwa: SQM 276
šŸ“„ Hali ya umiliki: Kimepimwa (Surveyed) & Approved – tayari kwa kupata hati kwa jina lako

✨ Sifa za kiwanja:

* Kimezungushiwa fence tayari šŸ”
* Ni corner plot (barabara mbili) 🚧
* Kinagusa barabara kubwa itakayowekwa lami šŸ›£ļø
* Mita ~150 kutoka barabara ya lami (Kibada → Ferry)
* Km ~4 kutoka Ferry
* Km ~3.5 kutoka Daraja la Kigamboni

šŸ’” Matumizi:

* Ujenzi wa Lodge / Guest House šŸØ
* Apartment za kupangisha šŸ¢
* Nyumba ya kuishi šŸ”
* Yard au biashara nyingine ndogo ndogo

🌟 Eneo lina potential kubwa sana ya uwekezaji – linakua kwa kasi!

šŸ’° Bei: TZS 135,000,000 (maongezi yapo kidogo)

šŸ’µ Service Charge: TZS 30,000 (Site Visit)

šŸ“ž Call/WhatsApp: + O719969102

Matangazo yanayofanana Kisiwani, Dar es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kisiwani, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 42,000,000

For Sale350 sqmNegotiableresidentialLand
  • Hati