Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kisota, Dar Es Salaam sqm 1200

Sh. 125,000,000

Ukubwa

1200 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

šŸ” KIWANJA KIZURI KINAUZWA – KIGAMBONI, KISOTA šŸ”

Unatafuta kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi na lenye miundombinu mizuri? Hiki ndicho chaguo sahihi!

šŸ“ Mahali: Kigamboni – Kisota

āœ… Kimepimwa na kina Hati ya Wizara
āœ… Ukubwa: SQM 1,200
āœ… Corner Plot – kina nafasi nzuri kwa makazi au uwekezaji
āœ… Mita 300 tu kutoka barabara ya lami
āœ… Kilomita 6 kutoka Feri
āœ… Kilomita 6.5 kutoka Daraja la Nyerere
āœ… Kipo kwenye eneo zuri na lenye maendeleo makubwa

šŸ’° Bei: TZS 125,000,000 (Milioni 125)

šŸ¤ Maongezi kidogo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.

šŸ“ž

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingpage

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Kisota, Dar es Salaam

Dalali Kigamboni mbavu