Kiwanja kinauzwa Mbagala Kongowe, Dar Es Salaam
Mbagala, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 7,200,000
Barabara ya Karibu
5km
Maelezo
Viwanja vya mbele Vinauzwa Mbagala Kongowejiblota, vipo viwili Ukubwa futi 50 kwa 40 kwa pamoja
Bei Mil 7.2 cash
Km 5 kutoka kongowe
Daladala Zipo na bajaji Zipo












