Kiwanja kinauzwa Mbezi Kwa Msuguri, Dar Es Salaam sqm 400
Mbezi, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 28,000,000
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
1.2km
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kinauzwa million 28
Mazungumzo yapo njoo site
Size 20x20 sqmt 400
Kipo mtaa mzuri sana
Barabara ni ya zege
Ukichepuka dk 4 upo site
Piga simu 0677210673
LocatiinπMbezi kwa Msuguri km 1.2
Boda buku
Bajaj buku/500
Hati ya mauziano serikali za mitaa/mwanasheria
..
Pia vya bei rahisi vipo piga simu















