Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam sqm 440

Ukubwa
440 SQM
Maelezo
Kiwanja kinauzwa kipo MBEZI MWISHO Barabara iendayo MPIGI MAGOE kituo kwa ASENGA umbali dk 12 mwendo wa miguu kutoka BARABARA YA MPIGI MAGOE/ MBEZI inayotazamiwa kujengwa kwa kiwango cha LAMI.
Ukubwa wa Eneo ni -
Sqm 440
Bei Milioni 17
[ Maongezi yapo ]
CONTACT US:
0662715781
0790480030















