Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mkolani, Mwanza sqm 3583

video thumbnail
Mkolani, Mwanza
27 days ago
Sh. 60,000,000

Ukubwa

3583 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Mixed Use Residential And Commercial

Maelezo

KIWANJA CHA 4 KUTOKA LAMI KINAUZWA MKOLANI
-ukubwa wa kiwanja ni sqm 3,583
-kina hati miliki ya wizara
-matumizi ni makazi na biashara
-panafaa kwa apartment, kanisa
-bei Milioni 60

☎️ 0743220097

Matangazo yanayofanana Mkolani, Mwanza