Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mletele, Nonganonga, Ruvuma acre 1.5

Mletele, Ruvuma
2 months ago
Sh. 5,000,000

Ukubwa

1.5 ACRE

Barabara ya Karibu

150m

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Ardhi Tambarare

Maelezo

DALALI SONGEA

šŸ“ Eneo linauzwa – Mletele, Nonganonga

Unatafuta eneo zuri kwa uwekezaji au makazi? Hili ni fursa yako!

āœ… Ukubwa: Hekari 1.5
āœ… Bei: Shilingi Milioni 5 tu
āœ… Umbali: Takribani mita 150 kutoka barabara ya lami
āœ… Ardhi ni tambarare, rahisi kuendeleza.

Eneo linafaa kwa:

Ujenzi wa nyumba za makazi

Biashara

Uwekezaji wa muda mrefu

Shughuli za kilimo au miradi mingine

šŸ“ž Kwa maelezo zaidi na kuona eneo, wasiliana nasi.
0797754511
#Songea

Matangazo mengine Mletele, Ruvuma