Kiwanja kinauzwa Mtumba, Dodoma sqm 3133

Vyumba
3
Ukubwa
3133 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KIZURI MTUMBA, DODOMA
__________
MTUMBA WIZARANI
Square meter 3133
Hati Safi/ Title deed
Bei: Million 130
________
Kina nyumba ambayo haijamaliziwa ujenzi
Ina vyumba vitatu, sebule na jiko.
Unaweza kuiendeleza au kuvunja na kuweka kitu unachotaka kuwekeza
_______
Tuwasiliane 0670925159
#viwanjatz #viwanjadodoma















