Tafuta

Kiwanja kinauzwa Muongozo, Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 1229

video thumbnail
Sh. 165,000,000

Ukubwa

1229 SQM

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Iliyopimwa
Includes Construction Materials

Maelezo

๐ŸŒด PLOT INAUZWA โ€“ KIGAMBONI, MUONGOZO

Fursa nzuri ya kuwekeza katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni!

๐Ÿ“ Mahali: Muongozo, Kigamboni

๐Ÿ“ Ukubwa wa Kiwanja

โœ… SQM 1,229

๐Ÿ“„ Nyaraka

โœ… Kimepimwa
โœ… Kina Hati ya Wizara

โœจ Vitu Vinavyoambatana na Kiwanja

Mmiliki anakukabidhi pamoja na vifaa vifuatavyo vya ujenzi:

* ๐Ÿš› Lori 2 za kokoto
* ๐Ÿชจ Lori 1 la mawe
* ๐Ÿงฑ Matofali 1000
* ๐Ÿš› Lori 2 za mchanga

Hivi vyote vinauzwa pamoja na kiwanja bila gharama ya ziada.

๐Ÿ’ฐ Bei: TZS Milioni 165 (Mazungumzo yapo.)

๐Ÿ“ Umbali

๐Ÿ“Œ Kilomita 1 kutoka Baobab
๐Ÿ“Œ Kilomita 10 kutoka Ferry
๐Ÿ“Œ Kilomita 9 kutoka Daraja la Nyerere

๐Ÿ“ž 0769554221
๐Ÿ“Service Change 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam