Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 514

Mwasonga, Dar es Salaam
22 days ago
Sh. 25,000,000
Maelezo
KIWANJA NAKIUZA KIGAMBONI
bei milioni 25
0767672719📱0713672719
Kiwanja kipo mwasonga
kina ukubwa wa sqm 514
kina hati miliki ya wizara
kiwanja kimezungushiwa
Fensi ya ukuta tayari







