Kiwanja kinauzwa Sala Sala, Dar Es Salaam sqm 700

Sala Sala, Dar es Salaam
9 hours ago
Sh. 65,000,000
Ukubwa
700 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kinauzwa kipo Sala sala
Ukubwa wa Kiwanja Sqm 700.
Bei ni Milioni 65 maongezi yapo.
Gharama za kuona kiwanja shs 20,000.
Wasiliana nami kwa
0784 234 971 au
0718 809 744
Karibuni sana












