Tafuta

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam sqm 600

video thumbnail
Sh. 110,000,000

Ukubwa

600 SQM

Huduma na Sifa

Maelezo

πŸ”₯ KIWANJA CHA KIFAHARI KINAUZWA – TABATA SEGEREA MWISHO V/Bank πŸ”₯

Unatafuta sehemu salama, tulivu na yenye hadhi ya kujenga nyumba ya ndoto zako? Hiki ndicho kiwanja sahihi kwa ajili yako!

πŸ“ Kinapatikana Tabata Segerea Mwisho V/Bank
πŸ“ Ukubwa: Takribani Sq. Meter 600.
πŸ“œ Hati Miliki ya Wizara ipo tayari.

βœ… Kipo kwenye neighbourhood ya kisasa na yenye hadhi.
βœ… Eneo tulivu, salama na lenye maendeleo mazuri.
βœ… Miundombinu ya barabara ni rafiki na huduma zote muhimu za kijamii zinapatikana karibu.
βœ… Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kifahari ya makazi binafsi au uwekezaji wa muda mrefu.

Hii ni fursa adimu ya kupata kiwanja katika moja ya maeneo yanayokua kwa kasi na yenye thamani kubwa ya uwekezaji.

πŸ’° Bei: Milioni 110 Tu.

πŸ’΅ Service Charge / Gharama ya Huduma: 30,000/=

πŸ“ž Muhitaji piga: +255688412890

Matangazo yanayofanana Segerea, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Tabata Segerea Stand, Dar Es Salaam

Sh. 170,000,000

For Sale400 sqmhasTitleDeed
  • Hati

  • Uzio

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 500

Sh. 60,000,000

For Sale500 sqm
  • Hati

  • Ardhi Tambarare

  • Uzio

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 500

Sh. 60,000,000

For Sale500 sqm
  • Hati

  • Uzio

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 550

Sh. 60,000,000

For Sale550 sqmNegotiable
  • Hati

  • Karibu na Barabara

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea, Dar Es Salaam sqm 550

Sh. 60,000,000

For Sale550 sqmNegotiable
  • Hati

  • Karibu na Barabara

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam sqm 1200

Sh. 120,000,000

For Sale1,200 sqm
  • Hati

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Mwisho, Dar Es Salaam sqm 1200

Sh. 120,000,000

For Sale1,200 sqm
  • Hati

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Kwa Bibi, Dar Es Salaam sqm 580

Sh. 60,000,000

For Sale580 sqm
  • Hati

  • Uzio

  • Ardhi Tambarare

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam sqm 610

Sh. 110,000,000

For Sale610 sqmNegotiable
  • Hati

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam sqm 610

Sh. 110,000,000

For Sale610 sqmNegotiable
  • Hati

  • Karibu na Barabara

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea Chama, Dar Es Salaam sqm 610

Sh. 110,000,000

For Sale610 sqmNegotiable
  • Hati

  • Site Visit Bure

Nyumba inauzwa Tabata Segerea Kwa Bibi, Dar Es Salaam

Sh. 58,000,000

For Sale500 sqmhasTitleDeed
  • Hati

  • Ardhi Tambarare