Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside Kibangu, Dar Es Salaam sqm 700

Ukubwa
700 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kizuri mnoo chapili kutoka lami kinauzwa panafaa sana kuweka apartments, warehouse au nyumba yakuishi
Ukubwa : sqmt 700
Location: Ubungo Riverside kibangu
Documents:Upimaji
Umbali kutoka lami Dakika 1
Bei: million 100
survey charge 50,000
unalipa mara 1 tu hadi upate eneo
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:
O677370515 whatsapp
O688991244 normal call







