Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail

Maelezo

Viwanja vinauzwa kigamboni

Mahali; Kigamboni#MWONGOZO

*Umbali kutoka ferry ni km17, na kutoka mainroad hadi site ni km2 lakini katika hiyo barabara inawekwa lami.

*Ukubwa wa viwanja ni kuanzia #Sqm400 hadi #Sqm1500

*BEI; #Sqm1 =25,000 na kwa vya mbele ambavyo vitakua vimetizama lami ni 30,000 kwa sqm1.

*Viwanja vimepimwa na vina #Hatiyawizara

*Maji&Umeme tayali vipo katika mradi

*Kwa mahitaji na maelezo zaidi nipigie kupitia namba, 0656775637 & 0755489848