Viwanja vinauzwa Chidachi Ntyuka, Dodoma sqm 300

Ukubwa
300 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
- OFA MAALUM CHIDACHI NTYUKA!
• Je, unatafuta kiwanja kwa bei nafuu karibu na Dodoma mjini
• Kiwanja kuanzia SQM 300 na kuendelea, Bei ni Milioni 8 tu
- Vimepimwa na vina hati Miundombinu huduma za kijamii zinapatikana
- Umbali wa kilomita 7 tu kutoka
Dodoma Mjini
- Wekeza leo kwa ajili ya kesho yako bora!
- 0790 111137
- Usafiri wa kwenda site ni bure kilasiku















