Tafuta

Viwanja vinauzwa Dar Es Salaam

video thumbnail
Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 10,000/sqm

Awali

Inaruhusiwa

Maelezo

⚠️ KAMA UNAOGOPA KUTAPELIWA KWENYE UNUNUZI WA KIWANJA, SOMA HII KWANZA!

"Mteja mwenye akili hanunui kwa kuamini maneno... ananunua kwa kuona ukweli."

Kama bado una wasiwasi, usinunue kwa maneno matupu... hakikisha unaona kila kitu kwa macho yako mwenyewe.

✅ Tunakupeleka SITE kuona eneo halisi kabla ya kufanya maamuzi. ✅ Tuna OFISI rasmi Mwananyamala Komakoma, Jannat Plaza Floor 1. ✅ Tunatoa MIKATABA ya mauzo kwa usalama wako. ✅ Viwanja vyetu vimepimwa na vina nyaraka zinazotambulika. ✅ Timu yetu ipo tayari kukuhudumia hatua kwa hatua mpaka umiliki kiwanja chako.

🏡 Kwa Site To Site Real Estate, uwazi ndio msingi wa biashara yetu. Karibu ujionee mwenyewe kwa nini wateja wengi wanaendelea kutuamini kila siku.

🏡 MIRADI YETU INAYOPATIKANA

📍 Kigamboni Kimbiji 💰 20,000/sqm Cash 💰 25,000/sqm Installment

📍 Buyuni 💰 10,000/sqm Cash 💰 12,000/sqm Installment

📍 Puna 💰 10,000/sqm Cash 💰 12,000/sqm Installment

📍 Beach Plot 💰 40,000/sqm Cash 💰 45,000/sqm Installment

✨ Maeneo yanafaa kwa makazi na uwekezaji. ✨ Barabara zinapatikana. ✨ Umeme na huduma za kijamii zipo karibu. ✨ Fursa nzuri ya kujenga nyumba, apartments, biashara na miradi mingine ya maendeleo.

📍 Ofisi: Mwananyamala Komakoma, Jannat Plaza Floor 1 📞 0620 808 115

SITE TO SITE REAL ESTATE "Tunakupeleka Site, Tunakupa Uhakika.
" #SiteToSiteRealEstate #ViwanjaDarEsSalaam #KigamboniKimbiji #Buyuni #Puna BeachPlot UwekezajiWaArdhi ViwanjaVimepimwa RealEstateTanzania"

Matangazo mengine Dar Es Salaam

Viwanja vinauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam sqm 445

Sh. 35,000,000

For Sale445 sqmNegotiable
Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
Viwanja vinauzwa Kigamboni Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
Viwanja vinauzwa Mwasonga, Dar Es Salaam sqm 400

Sh. 4,800,000

For Sale400 sqmInstallment
Viwanja vinauzwa Goba, Dar Es Salaam

Sh. 115,000,000

For SaleNegotiableInstallment
Kiwanja kinauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam sqm 445

Sh. 37,000,000

For Sale445 sqmNegotiable
Kiwanja kinauzwa Bonyokwa, Dar Es Salaam sqm 441

Sh. 40,000,000

For Sale441 sqmNegotiable