Viwanja vinauzwa Kibamba Shule Hondogo, Dar Es Salaam sqm 400

Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
3km
Huduma na Sifa
Maelezo
VIWANJA VINAUZWA KIBAMBA SHULE HONDOGO
Ukubwa sqm 400 kwa 500
Bei Mil. 25 kwa 35
Huduma zote muhimu zipo hapa
Umbali KM 3 barabara ni Lami, kubwa zaidi lami inapita pia hapo kwenye hicho kiwanja
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0684561351















