Tafuta

Viwanja vinauzwa Kigamboni Buyuni, Dar Es Salaam sqm 616

video thumbnail
Sh. 6,160,000

Ukubwa

616 SQM

Barabara ya Karibu

2.5km

Maelezo

MRADI WA KIGAMBONI BUYUNI

Fursa adimu ya kumiliki kiwanja katika moja ya maeneo yanayokua kwa kasi ndani ya Kigamboni!

โœ… Ukubwa: SQM 616
โœ… Bei ya Cash: Tsh 6,160,000
โœ… Kiwanja kimebaki kimoja tu

Faida za eneo:

๐Ÿ–๏ธ Umbali wa KM 2.5 kutoka ufukwe wa bahari
๐Ÿ›ฃ๏ธ Umbali wa KM 2.5 kutoka barabara kuu
๐Ÿ“ KM 40 kutoka Kigamboni Ferry
๐Ÿš— Barabara zinapatikana na eneo linafikika kwa urahisi
๐Ÿ“ˆ Eneo linaendelea kuongezeka thamani kila siku kutokana na maendeleo yanayoendelea Kigamboni

Ikiwa unatafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga makazi, kuhifadhi thamani ya fedha zako au kuwekeza kwa ajili ya faida ya baadaye, hii ni nafasi ambayo hutaki kuikosa. Kwa bei hii na eneo hili, kiwanja hiki kinaweza kuuzwa wakati wowote.

Usisubiri kesho wakati unaweza kumiliki leo. Kiwanja kimebaki kimoja tu!

#KigamboniBuyuni #OasisRealEstate #KiwanjaKinauzwa #LandInvestment #Kigamboni ArdhiYakoUrithiWako InvestEarly HatiNiUhakika RealEstateTanzania Buyuni

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000/sqm

For SaleInstallment
  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 45,000/sqm

For SaleInstallment
  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (121 sqm)

Sh. 15,000,000

For Sale121 sqm
  • Karibu na Shule

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 990

Sh. 110,000,000

For Sale990 sqmNegotiable
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 990

Sh. 110,000,000

For Sale990 sqmNegotiable
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Site Visit Bure

Beach Plots zinazouzwa Yale Puna, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 8,000,000

For Sale
  • Karibu na Bichi

  • Ardhi Iliyopimwa

Beach Plots zinazouzwa Yale Puna, Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 8,000,000

For Sale
  • Karibu na Bichi

  • Ardhi Iliyopimwa

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (121 sqm)

Sh. 15,000,000

For Sale121 sqm
  • Karibu na Shule

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000/sqm

For SaleInstallment
  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kigamboni Kimbiji, Dar Es Salaam sqm 500

Sh. 12,000/sqm

For Sale500 sqmInstallment
  • Umeme

  • Maji

  • Karibu na Shule

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam sqm 1000

Sh. 135,000,000

For Sale1,000 sqm
  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Iliyopimwa

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 18,000/sqm

For SaleInstallment
  • Site Visit Bure

Viwanja vinauzwa Kwa Chale, Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 500

Sh. 12,500,000

For Sale500 sqm
  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara