Viwanja vinauzwa Mbuta Mkwajuni, Songwe


Huduma na Sifa
Maelezo
Updated map!! Hapa hatufanyi kazi kwa kubahatisha.
Mpango huu umeidhinishwa rasmi na mamlaka husika za mipango miji.
✔️ Layout plan imepitishwa
✔️ Viwanja vimepangwa kitaalamu
✔️ Maendeleo yanafuata utaratibu halali
Hii ndiyo tofauti ya kuwekeza kwenye mradi wenye misingi imara. Na sasa…
💰 Bei ni 27,000 kwa sqm moja tu!
Eneo hili lina thamani kubwa na linaendelea kukua kwa kasi.
Hii ni fursa ya kuwekeza kwenye mradi uliothibitishwa na wenye hadhi.
Usichelewe — maeneo mazuri huisha haraka.
📞 +255 653 988 825
📲 oneroof_real_estate_company
Mbuta Mkwajuni —
Wekeza kwenye eneo lenye mpango, lenye thamani, lenye uhakika. 🔥





