Viwanja vinauzwa Tundwi Songani, Dar Es Salaam sqm 400

Ukubwa
400 SQM
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
Tunakukaribisha kwenye mradi wetu mpya wa TUNDWI SONGANI – KIGAMBONI.

Huu si wa kukosa 🤝 Viwanja ni vichache, wahi saa uchukue kabla havijakata!

📐 Ukubwa wa viwanja: Kuanzia SQM 400 hadi SQM 2000
💰 Bei: TSH 7,000/= tu kwa SQM 1

💳 Malipo rahisi:
Lipa kidogo kidogo ndani ya mwaka mzima
• Malipo ya awali 40%
• 60% zilizobaki utalipa kidogo kidogo ndani ya mwaka mzima

📍 Viwanja vimepimwa na huduma zote za kijamii zinapatikana:
💧 Maji
⚡ Umeme
🏥 Huduma za Afya
🏫 Shule
🛣️ Barabara

Karibu jasiri_land_company_limited
Miliki ardhi ya ndoto yako kwa manufaa ya leo na baadaye.

🏢 Tembelea ofisi zetu tukupeleke Site.
📌 Tupo Kigamboni, Kijaruba – opposite Shule ya Msingi Maweni.

☎️ Kwa mawasiliano zaidi tupigie: 0621 314 675 au 0712 390 895