Tafuta

Kiwanja kinauzwa Bigwa Sisters, Morogoro (1 acre)

 media -1
media -1
Bigwa, Morogoro
4 days ago
Sh. 12,000,000

Maelezo

𝗞𝗔𝗥𝗜𝗕𝗨𝗡𝗜 𝗪𝗔𝗧𝗘𝗝𝗔 𝗪𝗢𝗧𝗘 🌿🏡

Tunawakaribisha kununua eneo zuri la mlimani lililopo Bigwa Sisters – Morogoro Mjini.
Eneo lina ukubwa wa Hekari 1, lina mazingira mazuri yenye muinuko wa kuvutia na limezungukwa na majengo ya kisasa.

📍 Mahali pazuri kwa: • Makazi ya kifahari
• Uwekezaji
• Resort au nyumba za wageni

💰 𝗕𝗲𝗶: Milioni 12 Tu
📄 Lina nyaraka za umiliki wa serikali za mitaa

𝗠𝗮𝘄𝗮𝘀𝗶𝗹𝗶𝗮𝗻𝗼:
☎️0678-517158
☎️0785-517158

Usikose fursa hii ya kipekee ya kuwekeza eneo lenye hadhi na mandhari nzuri ya Morogoro mjini.

Matangazo yanayofanana Bigwa, Morogoro

Kiwanja kinauzwa Bigwa, Morogoro (1 acre)

Sh. 12,000,000/month

  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Bigwa Misonge, Morogoro

Sh. 8,600,000

  • Umeme

  • Maji

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Bigwa Sisters, Morogoro (600 sqm)

Sh. 12,000,000

  • Karibu na Barabara

  • Maji

  • Umeme

Kiwanja kinauzwa Bigwa Sisters, Morogoro (600 sqm)

Sh. 12,000,000

  • Maji

  • Umeme

  • Karibu na Barabara