Kiwanja kinauzwa Dodoma Veyula Magereza Hospital (672 sqm)
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
Mahali:Dodoma Veyula Magereza Hospital
Bei:6.5M
Ukubwa:SQM 672
Document:Maandikishano
✅Kiwanja Kipo Jiran Sana Ring Road, Na Umbali Kutoka Center 1KM
✅Huduma Za Kijamii Zipo Zote Kwa Urahisi Karibu Na Kiwanja
✅Huduma Za Maji Na Umeme Ziko Karibu Sana Kiwanja
✅Kiwanja Kizuri Sana Kinafaa Kwa Ujenzi Wa Makazi
✅Kwa Wale Wa Wekezaji Hotel Au Lodge Pia Panafaa Sana
✅Kiwanja Kinafaa Pia Kwa Ujenzi Wa Apartments Na Nyumba Za Kupangisha
✅Karibu Uwekeze Dodoma Kuna Kuwa Kila Siku
💣Gharama Za Kwenda Kuoneshwa Ni Tsh.30,000/=(Itadumu Mpk Utakapo Pata Kiwanja)
Whatsapp Number/Call
NAPATIKANA DODOMA MJINI PIGA SIMU TUFIKE SITE TAJIRI
#dodoma #tanzania #yanga #ikulumawasiliano #madalali















