Kiwanja kinauzwa Gezaulole, Kigamboni, Dar Es Salaam (1500 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Plot for sale
Kiwanja kinauzwa kipo kigamboni Gezaulole
Size sqm 1500
Lina fensi
Bei ๐ mil 120
Document mauziano ya serikali ya mtaa
Umbali kutoka lami mita 200
Umbali kutoka ferry kilometer 13
MAWASILIANO
Call/whatsp 0625 490170















