Tafuta

Kiwanja kinauzwa Goba Makongo Road, Dar Es Salaam (180 sqm)

Sh. 16,000,000

Maelezo

Karibu ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kizuri panafaa kujenga apartments

✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 180

✨Location: Goba -makongo road

✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari

✨Bei : Million 16

✨Umbali kutoka lami kilometer1

✨Umiliki: Mmoja

✨Documents:Serikali ya mtaa

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni

abbymajumba_tz

@abbymajumba_tz

View Listings
Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni