Tafuta

Kiwanja kinauzwa Goba Njia 4, Tegeta A, Dar Es Salaam (750 sqm)

video thumbnail
Sh. 58,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Goba

Ukubwa

750 SQM

Barabara ya Karibu

100m

Huduma na Sifa

Maelezo

KIWANJA KINAUZWA GOBA NJIA 4, ( TEGETA A)

Mita 100 kutoka barabara inayojengwa lami,

Tambalale kabisa
Maji na umeme vipo,

Kimepimwa tayari,

Huduma za kijamii zipo site, kama umeme na maji dawasa,

Ukubwa SQM 750, bei 58m, mazungumzo yapo

SQM 1500, Bei 115m, mazungumzo yapo,

MBIO ZAKO NDO ZITAFANYA

0695511662

Matangazo yanayofanana Goba, Dar Es Salaam