Kiwanja kinauzwa Goba Njia Nne, Dar Es Salaam (1850 sqm)

Aina
Kiwanja
Vyumba
2
Ukubwa
1850 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA SQM.1,850/MABANDA YA KUKU INAUZA BANK,TSHS.65 MILIONI,GOBA NJIA NNE.
Hapa ni GOBA/TEGETA-A.
Unashukia LILIAN KIBO.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Kuna nyumba ndogo yenye vyumba 2,
Mabanda ya kufugia Kuku na Eneo kubwa linabaki.
Panafaa pia kuweka nyumba za Biashara/Apartments.
WAHI KABLA HUJACHELEWA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________jj




















