Kiwanja kinauzwa Goba Tegeta A, Dar Es Salaam (1200 sqm)






Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KIZURI SANA – GOBA TEGETA A 🏡
Kiwanja kipo kwenye eneo linalokua kwa kasi sana,
mazingira yake tayari yanaonesha mwelekeo wa maendeleo —
majirani wengi tayari wanaanza ujenzi wa maghorofa 👌
✔️ Kimenyooka vizuri sana
✔️ Kipo juu ya kiwango cha barabara ya lami
✔️ Barabara ya mtaa ipo (mita 10 tu hadi site)
📍 Location: Goba Tegeta A – karibu na Kanisa Katoliki
(Ingia kupitia Mtaa wa Dokta Street)
📏 Ukubwa: SQM 1200
📄 Umiliki: Mauziano ya serikali za mtaa
💰 Bei: Milioni 85 (mazungumzo yapo)
📍 Umbali: Km 3 kutoka Goba njia nne
👉 Eneo linafaa kwa makazi ya kisasa au uwekezaji wa uhakika.
Karibuni sana kuangalia na kufanya maamuzi sahihi. 💯















