Kiwanja kinauzwa Kibamba Chama, Dar Es Salaam (625 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA CHAMA/KWA MANGI
Ukubwa 25×25( sqm 625)
Umbali KM 1 kutoka kwa mangi na KM 1.3 Kutoka Kibamba Chama
Kiwanja kinatazama barabara kubwa ya mtaaa unaweza kuweka ma frames kwa mbele nyuma ukaweka nyumba yako
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0679447338
0753454167















