Kiwanja kinauzwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam (400 sqm)









Aina
Kiwanja
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
600m — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Maelezo
*VIWANJA VIZURI VINAUZWA KIBAMBA SHULE* *UKUBWA WA SQM 400* *BEI NI MILLION 17 TUU* (MAONGEZI YAPO FIKA SITE) UMBALI WA KM 1.3 KUTOKA KIBAMBA MWISHO BODA 1000 TU METER 600 KUTOKA LAMI YA MOROGORO ROAD (*UKISHUKA GOGONI UNATEMBEA DK 10 TUU*) _ Eneo ni Tambalale _ Umeme na Maji vipo hapohapo Unavuta tuu _ Barabara nzuri kutoka LAMI Hadi Viwanjani _ Unaweza Kuingilia Kibamba Shule au Gogoni na Ukatembea mpaka Kiwanjani _ Hati ya Mauziano ya SERIKALI ZA MTAA _ Eneo ni potential Kwa Makazi Binafsi, Apartments za Upangishaji, Nyumba za Kuuza, Au Nyumba za Wageni (guest & lodge) Survey Charge Ni ELFU 50 (*SINA CHENI NAONGEA NA MMILIKI*) *Inbox me Kwa Video na Maelezo Zaidi*















