Kiwanja kinauzwa Kibamba Shule, Dar Es Salaam (525 sqm)

Kibamba, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 35,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA KIBAMBA SHULE
Ukubwa sqm 525 ( mita 35 kwa 15)
Bei Mil. 35 Maongezi kidogo
Umbali Km 1.5 ni lami mpaka site
Kupelekwa kuona viwanja 25,000/=
0711258592















