Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (800 sqm)

video thumbnail
Sh. 150,000,000

Maelezo

๐Ÿก KIWANJA KIKUBWA KINAUZWA KIGAMBONI KISIWANI โ€“ DAR ES SALAAM ๐Ÿก

Unatafuta sehemu nzuri kwa ajili ya uwekezaji wa uhakika? Hiki hapa kiwanja kikubwa sana kinauzwa Kigamboni Kisiwani, eneo lenye ukuaji mkubwa na demand kubwa ya nyumba za kupangisha. Ni sehemu nzuri kwa kujenga apartment, nyumba za kupanga au makazi binafsi.

โœ… Ukubwa wa sqm 800
โœ… Kimezungushiwa fence tayari
โœ… Kina nyumba ndani yenye mpangaji
โœ… Umeme na maji vinapatikana
โœ… Eneo lina mazingira mazuri na tulivu
โœ… Kilomita 2 tu mpaka darajani
โœ… Kilomita 3 tu mpaka Ferry
โœ… Eneo linaongezeka thamani kila siku

๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 150 tu
๐Ÿ—ฃ๏ธ Mazungumzo yapo kidogo kwa mnunuzi serious.

๐Ÿ“ Kigamboni Kisiwani โ€“ Dar es Salaam

๐Ÿ’ต Service Charge: Tsh 30,000 kwa site visit

๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: +255746407197

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni viwanjavinauzwa dar es salaamrealestate investmentopportunity

Demand ya nyumba za kupangisha Dar es Salaam inaendelea kukua kwa kasi, hasa maeneo ya karibu na CBD na miundombinu mikubwa kama Kigamboni.

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam (650 sqm)

Sh. 160,000,000

For Sale650 sqmNegotiableresidentialLand
  • Uzio

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Stendi ya Mabasi

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 20,000,000

For Sale350 sqmNegotiableresidentialLand
    Kiwanja kinauzwa Kigamboni Mwembe Mdogo, Dar Es Salaam

    Sh. 8,000,000

    For SaleresidentialLand
    • Karibu na Shule

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (500 sqm)

    Sh. 35,000,000

    For Sale500 sqmNegotiableresidentialLand
    • Ardhi Iliyopimwa

    • Karibu na Barabara ya Lami

    • Karibu na Barabara

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kwa Mwingila, Dar Es Salaam (1330 sqm)

    Sh. 200,000,000

    For Sale1,330 sqmNegotiableresidentialLand
    • Maji

    • Umeme

    Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam (500 sqm)

    Sh. 35,000,000

    For Sale500 sqmNegotiableresidentialLand
    • Ardhi Iliyopimwa

    • Karibu na Barabara ya Lami

    • Karibu na Barabara

    Viwanja vinauzwa Kigamboni Cheka, Dar Es Salaam (400 sqm)

    Sh. 5,500,000

    For Sale400 sqmresidentialLand
      Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kwa Mwingila, Dar Es Salaam (1330 sqm)

      Sh. 200,000,000

      For Sale1,330 sqmNegotiableresidentialLand
      • Maji

      • Umeme

      Kiwanja kinauzwa Kigamboni Mwembe Mdogo, Dar Es Salaam

      Sh. 8,000,000

      For SaleresidentialLand
      • Karibu na Shule

      Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

      Sh. 13,000,000

      For SaleresidentialLand
      • Site Visit Bure

      Viwanja vinauzwa Kichangani, Kisarawe II, Kigamboni, Dar Es Salaam

      Sh. 40,000/sqm

      For SaleresidentialLand
      • Maji

      • Umeme

      • Karibu na Barabara

      Viwanja vinauzwa Kichangani, Kisarawe II, Kigamboni, Dar Es Salaam

      Sh. 40,000/sqm

      For SaleresidentialLand
      • Maji

      • Umeme

      • Karibu na Barabara ya Lami

      Viwanja vinauzwa Buyuni Mti Mweupe, Kigamboni, Dar Es Salaam

      Sh. 17,000/sqm

      For SaleresidentialLand
      • Karibu na Bichi

      • Karibu na Barabara