Kiwanja kinauzwa Kimara Korogwe, Kilungule, Dar Es Salaam (400 sqm)

Kilungule, Temeke, Dar Es Salaam
2 months ago
Sh. 25,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja kinauzwa kipo KIMARA KOROGWE Maeneo ya KILUNGULE umbali km 1 kutoka Morogoro Road kimara Mwendokasi Terminal.
Ukubwa wa kiwanja ni -
Sqm 400
( yaani 20x20 )
Bei Milioni 25

