Kiwanja kinauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (819 sqm)

Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 52,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
819 SQM
Maelezo
Kiwanja safi kabisa kimara tembon
Kinauzwa sqmt 819 bei milion 52 maongezi yapo
Njia ni safi vipindi vyote boda 1000 bajaji 700
Kwenda kuona 25k
