Kiwanja kinauzwa Kimbiji Kwa Chale, Dar Es Salaam (578 sqm)
Huduma na Sifa
Maelezo
๐ก KIWANJA CHA 578 SQM โ KIGAMBONI KIMBIJI KWA CHALE! ๐ด
Unatafuta kiwanja kikubwa, karibu na bahari na chenye nafasi nzuri kwa makazi au uwekezaji? Hiki ni chako! ๐โจ
๐ Eneo: Kigamboni, Kimbiji Kwa Chale
๐ Ukubwa: 578 SQM
๐ฐ BEI:
โ
Cash: TSh 20,000 kwa SQM[miezi 6]
๐ Jumla: TSh 11,560,000
โ
Malipo ya awamu: TSh 25,000 kwa SQM[miezi 12]
๐ Jumla: TSh 14,450,000
๐ Umbali kutoka maeneo muhimu:
๐ Km 33 kutoka Kigamboni Ferry
๐๏ธ Km 1 tu kutoka baharini
๐ฃ๏ธ Mita 300 tu kutoka barabara kubwa
Fursa nzuri ya kumiliki ardhi katika eneo la Kimbiji Kwa Chale linaloendelea kukua na kuwa kivutio kwa uwekezaji na makazi. (MakaziMapya)
๐ Wasiliana nasi leo:
๐ฒ Wahi kabla viwanja havijaisha!
#Kigamboni #Kimbiji #KwaChale #Viwanja #Ardhi Uwekezaji PlotForSale DarEsSalaam















