Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kinyerezi Mwisho, Dar Es Salaam (350 sqm)

Sh. 12,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kinyerezi

Ukubwa

350 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

Uzio
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

🏑 KIWANJA KINAUZWA – KINYEREZI MWISHO, DAR ES SALAAM 🏑

πŸ’° Bei: Milioni 12 Tu (Fixed)

πŸ“ Ukubwa: SQM 350

Unatafuta kiwanja cha bei nafuu kwa ajili ya makazi au uwekezaji? Hiki ndicho fursa sahihi!

βœ… Kina ukubwa wa SQM 350
βœ… Tayari kina fensi upande mmoja
βœ… Kipo katika mazingira mazuri na yanayoendelea kwa kasi
βœ… Takribani kilomita 1 kutoka barabara ya lami
βœ… Usafiri wa bodaboda unapatikana kwa urahisi
βœ… Panafikika muda wote wa mwaka bila shida

🏠 Kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi
🏘️ Kinafaa kwa nyumba za kupangisha
🏒 Kinafaa kwa miradi mingine ya biashara

Hii ni fursa nzuri ya kumiliki kiwanja katika eneo la Kinyerezi Mwisho kwa bei nafuu sana.

πŸ’΅ Bei: Milioni 12 (Fixed)
πŸ’΅ Gharama ya huduma: TZS 20,000/=
πŸ“ž 0688 412 890

DALALI WAKISHUA
🌟 Miliki Kesho Yako Leo!!! 🌟