Tafuta

Kiwanja kinauzwa Kiseriani Madukani, Arusha (780 sqm)

video thumbnail
Kiseriani, Arusha
21 days ago
Sh. 35,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Kiseriani

Ukubwa

780 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Huduma na Sifa

Maelezo

OMM REAL ESTATE INAWALETEA FURSA YA NZURI.
Tunakuletea kiwanja chenye ukubwa wa mita 30 × 26 katika eneo la Kiseriani Madukani, Arusha.
✅ Maji ya bomba yapo ✅ Umeme upo ndani ya site ✅ Mita 300 tu kutoka Sheli ya Kiseriani ✅ Mita 700 tu kutoka Kiseriani Roundabout ✅ Kipo nyuma kidogo ya Soko Maarufu la Kiseriani
💰 Bei ni TSh Milioni 35 tu!
Usikose fursa ya kumiliki kiwanja katika eneo la kisasa, salama na lenye ukuaji wa haraka.
OMM REAL ESTATE – Tunakufungulia milango ya umiliki wa ardhi. 📞 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.

Matangazo mengine Kiseriani, Arusha

Viwanja vinauzwa Kiseriani, Arusha (375 sqm)

Sh. 8,500,000

For Sale375 sqmNegotiableInstallment
Viwanja vinauzwa Kiseriani, Arusha (375 sqm)

Sh. 8,500,000

For Sale375 sqmNegotiableInstallment
Kiwanja kinauzwa Kiseriani, Arusha (836 sqm)

Sh. 45,000,000

For Sale836 sqmNegotiableInstallment
Kiwanja kinauzwa Kiseriani, Arusha (836 sqm)

Sh. 45,000,000

For Sale836 sqmNegotiableInstallment