Kiwanja kinauzwa Lumala Greenview, Mwanza

Lumala, Ilemela, Mwanza
2 days ago
Sh. 75,000,000
Aina
Kiwanja
Huduma na Sifa
Hati
Uzio
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
• KIWANJA KINAUZWA 🌴
📍KIPO LUMALA GREENVIEW
- Kiwanja kimepimwa (KINA HATI MILIKI)
- Kiwanja kimezunguushiwa fensi pote
- Kiwanja kipo location nzuri sana
- Panafaa kujenga apartments au nyumba ya kuishi
- Barabara inapitika vizuri hadi site 🔥
KINAUZWA MILIONI 75 Tu
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905
