Kiwanja kinauzwa Madale Polisi Kwa Wasandawe, Dar Es Salaam (500 sqm)
Madale, Dar Es Salaam
4 hours ago
Sh. 40,000,000
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Kiwanja kizuri Sana kinauzwa:
Ni Kona plot nzuri ya Barabara kubwa ya mtaa
Ukubwa-sqm 500
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 40 maongezi
Location - madale polisi Kwa wasandawe
Umbali-km 2 kutoka lami madale polisi
Na km 1 kutoka Barabara kubwa ya msigani inayowekwa lami Kwa sasa
Karibuni
Dalali Tegeta 0784234971
0718809744















