Tafuta

Kiwanja kinauzwa Makongo Ccm, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 220,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Makongo

Ukubwa

2000 SQM

Barabara ya Karibu

1km

Huduma na Sifa

AirBnB
Karibu na Barabara ya Lami
Ardhi Iliyopimwa

Maelezo

Wahi mapema hapakai ndugu mteja🙏🏾
✨Kiwanja kikali mnoo pazuri sana panafaa kujenga nyumba ya ndoto zako au kuwekeza apartments Air Bnb

✨Ukubwa wa kiwanja: SQMT 2,000

✨Location: Makongo Ccm

✨Barabara tambalale sana kwa aina yoyote ya gari

✨Bei : Million 220 (maongezi yapo kidgo)

✨Umbali kutoka lami kilometer1

✨Umiliki: Mmoja

✨Documents: Upimaji

🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall

🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:

Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni

abbymajumba_tz

@abbymajumba_tz

View Listings
Dalali wa Makongo,sinza, Ubungo,mikochen,mbez beach,Goba,Mbweni