Tafuta

Kiwanja kinauzwa Makongo, Dar Es Salaam (1000 sqm)

ID: 260905ZFA9G
Sh. 255,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Makongo

Ukubwa

1000 SQM

Barabara ya Karibu

5min — Makongo Road

Maelezo

VIWANJA VINAUZWA MAKONGO (LOCATION NZURI YA UWEKEZAJI AU MAKAZI)

​Tunauza viwanja viwili vya kipekee vilivyopo kwenye eneo tulivu na la kimkakati la Makongo, bora kabisa kwa ajili ya ujenzi wa ghorofa za kupangisha (apartments) au makazi binafsi ya kifahari.

​Sifa na Maelezo ya Viwanja:

​Kiwanja 1: Ukubwa wa SQM 1,000 – Tsh 255 Million

​Kiwanja 2: Ukubwa wa SQM 800 – Tsh 205 Million

​Urahisi wa Usafiri na Huduma:

​Dk 5 pekee kutoka Makongo Road.

​Dk 10 pekee kutoka Mlimani City Mall.

​Fursa ya Uwekezaji (ROI):

Eneo limechangamka na lina uhitaji mkubwa wa nyumba za kupangisha. Kodi ya apartment ya vyumba 2 (two-bedroom) katika eneo hili inafika mpaka Tsh 1,500,000 kwa mwezi, jambo linalokuhakikishia faida ya haraka kwenye uwekezaji wako.

​Mawasiliano:

0676_218580
0693_673010
0742_737385 (WhatsApp)

#DALALI_BIG_KIMARA_GOBA

DALALI_BIG_MKALI_WAO🇹🇿

dalali_big_kimara_goba

@dalali_big_kimara_goba

View Listings

Matangazo mengine Makongo, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Makongo, Dar Es Salaam (1526 sqm)
1

Sh. 620,000,000

For Sale1,526 sqmNegotiable
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Makongo, Dar Es Salaam (1526 sqm)
1

Sh. 620,000,000

For Sale1,526 sqmNegotiable
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Goba Njia Ya Makongo, Dar Es Salaam (1800 sqm)
1

Sh. 700,000,000

For Sale1,800 sqm
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Makongo, Dar Es Salaam (1000 sqm)
1

Sh. 255,000,000

For Sale1,000 sqm
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Makongo Juu, Dar Es Salaam (600 sqm)
1

Sh. 120,000,000

For Sale600 sqm
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Makongo Juu, Dar Es Salaam (600 sqm)
1

Sh. 100,000,000

For Sale600 sqmNegotiable
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Goba Njia Makongo, Dar Es Salaam (1800 sqm)
1

Sh. 700,000,000

For Sale1,800 sqm
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Makongo Juu, Dar Es Salaam (600 sqm)
1

Sh. 100,000,000

For Sale600 sqmNegotiable
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Makongo Juu, Dar Es Salaam (4200 sqm)
1

Sh. 550,000,000

For Sale4,200 sqmNegotiable
Makongo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa Makongo Mwisho, Dar Es Salaam (4200 sqm)