Kiwanja kinauzwa Makongo Juu, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
1100 SQM
Barabara ya Karibu
5m
Huduma na Sifa
Maelezo
Kiwanja chapili kutoka lami kizuri mnoo kinafaa sana kuwekeza apartments , hotel au nyumba yandoto zako
Ukubwa : sqmt 1,100
Location: Makongo Juu
Bei million 400 (maongezi yapo)
Documents: hati miliki
Umbali kutoka lami sekunde tano kwa mguu
karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:O677370515















