Kiwanja kinauzwa Makongo Juu, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Makongo, Kinondoni, Dar Es Salaam
6 hours ago
Sh. 400,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
1100 SQM
Huduma na Sifa
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Maelezo
Dar-Es-Salaam, Tanzania 🇹🇿
——
✨Kiwanja chapili kutoka lami kizuri mnoo kinafaa sana kuwekeza apartments , hotel au nyumba yandoto zako
✨Ukubwa : sqmt 1,100
✨Location: Makongo Juu
✨Bei million 400 (maongezi yapo)
✨Documents: hati miliki
✨Umbali kutoka lami sekunde tano kwa mguu
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽karibu kwa mawasiliano zaidi tupigie:
O719523533
O689590210
O748887892
