Kiwanja kinauzwa Mateves, Arusha (882 sqm)

Mateves, Arusha, Arusha
5 days ago
Sh. 35,000,000
Aina
Kiwanja
Ukubwa
882 SQM
Huduma na Sifa
Karibu na Uwanja wa Ndege
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA – MATEVES, KARIBU NA ARUSHA AIRPORT Kiwanja kizuri sana kinapatikana katika eneo linalokua kwa kasi, lenye mazingira mazuri kwa makazi au uwekezaji. • Ukubwa: 42 × 21 • Eneo: Mateves, karibu na Arusha Airport • Ufikiaji rahisi wa barabara • Mazingira tulivu na salama 💰 Bei: Tsh 35,000,000/= (Fixed) 📞 Call / Text / WhatsApp: 0754 326385 #dalali #realestate #realestateagent #nyumbazakupangisha #nyumbakaliarusha

