Kiwanja kinauzwa Mbezi Beach Makonde, Dar Es Salaam (876 sqm)

Aina
Kiwanja
Ukubwa
876 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
KIWANJA KINAUZWA – MBEZI BEACH MAKONDE
Kiwanja kizuri kinauzwa kipo Mbezi Beach Makonde, Upande wa chin
Ukubwa: SQM 876
Kina HATI SAFI
Bei: Milioni 290 (maongezi yapo kidogo sana)
Eneo zuri kwa makazi au uwekezaji
Huduma zote muhimu zipo karibu
⚠️ Muhimu:
Mwenye mali hataki picha za mitandaoni, hivyo kwa picha na maelezo njoo inbox
Contact 0712531657
0789731695















