Tafuta

Kiwanja kinauzwa Mbezi Msumi, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 55,000,000

Aina

Kiwanja

Residential Plot for sale in Mbezi

Ukubwa

900 SQM

Barabara ya Karibu

600m

Huduma na Sifa

Ardhi Tambarare
Karibu na Barabara ya Lami

Maelezo

​🔥 KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA MBEZI MSUMI – CORNER PLOT! 🔥

​📍 Sifa za Kiwanja:

​Mahali: Mbezi Msumi, kwenye mtaa unaokua kwa kasi sana na wa kisasa (Mtaa wa Vijana).

​Ukubwa: SQM 900 (Nafasi ya kutosha sana kwa mjengo wa kisasa na garden).

​Umbali: Mita 600 tu kutoka barabara mpya ya lami!

​Muundo: Ni Corner Plot (Inatazama pande mbili za barabara, inakupa uhuru wa kupanga ramani ya kuvutia).

​Muonekano: Kiko tambarare kabisa (Flat land), hakuna milima wala mabonde.

​Gharama nafuu: Tayari jirani amejenga ukuta upande mmoja, hivyo unapunguza gharama za fensi!

​💰 BEI: TZS Milioni 55 tu!

​Usikubali nafasi hii ikupite. Eneo linakimbizana na maendeleo kwa kasi kubwa!

​📞 Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi na kufanya site visit:

👉 Call/WhatsApp: 0794277000